Msaada wa haraka: Nahitaji kupata sms ya namba ya NIDA

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Hellow wakuu, pole na shughuli.

Nimehangaika sana kupata namba ya NIDA, Leo nikiwa nampigia mtu, Airtel wananiambia kuwa nimetumiwa namba yangu ya NIDA niende nikamilishe usajili.

Kiukweli sms hiyo sijaiona, na sidhani kama imeingia.

Je, wakuu nawezaje pata namba yangu maana nikiwapigia Airtel hai-respond, au nawezaje pata sms niliyoifuta?

Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilidharau haya mamboya Nida maana nimehangaika nikaona nopotezee...kumbe zina umuhimu...hata Kenya tu hapo utapasikia km Makonda aTakaVyoiskia USA
 
Hellow wakuu, pole na shughuli

Nimehangaika sana kupata namba ya NIDA, Leo nikiwa nampigia mtu, Airtel wananiambia kuwa nimetumiwa namba yangu ya NIDA niende nikamilishe usajili.

Kiukweli sms hiyo sijaiona, na sidhani kama imeingia.

Je wakuu nawezaje pata namba yangu maana nikiwapigia Airtel hairespond, au nawezaje pata sms niliyoifuta?

Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia hii link kupata namba yako

Kuna link ya NIDA ilitumwaga kwenye Uzi Fulani hivi huku JF jinsi ya kuangalia namba ya NIDA Mimi ulinisaidia kupata namba yangu. Tho huwa inasumbua kuangalia ukitaka kufanikisha ingia usiku mida ya saa nane huko coz watu wanakuwa hawautumii Sana.

Link yenyewe ndio hii https://services.nida.go.tz/nidportal/get_nin.aspx

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom