Hiwezi jua, watakwambua tu mimba ina wiki tatu au nne, kama mke ameliwa asubuhi na mmoja na jioni na mwingine, au Leo kala mume kesho kala kidumu chake,
ushauri gani huu??
wakina dada wenzangu jifunzeni kutulia na mridhike.
wengi mna tabia zinazotia shaka mpaka mtu anaamua aendelee nawe ila hakuamini kabisa.
haya ndo matokeo Barafu ya moto
ushauri gani huu??
wakina dada wenzangu jifunzeni kutulia na mridhike.
wengi mna tabia zinazotia shaka mpaka mtu anaamua aendelee nawe ila hakuamini kabisa.
haya ndo matokeo Barafu ya moto