Kwa utafiti nilioufanya kwa muda usiopungua miezi 36 (tangu nilipokuwa naingia kama guest) hapa jf ni kwamba wanawake wengi ambao wanataka/wanahitaji/wanatafuta marafiki, wapenzi, wachumba au wenza, asilimia kubwa, zaidi ya 90% ni wale ambao:
i. wameumizwa;
ii. umri umekwenda;
iii. wameachika;
iv. wamechoka kuwa nyumba ndogo;
v. wanataka kuongeza idadi (jiulize mko wangapi);
vi. waliopo mbali na nyumbani, yaani nje ya Tz (presha za umri na kupoteza network ya marafiki zinawasukuma);
vii. watoto wa shule/wadogo/wanachuo (wengi wao wanatokea fb) ili wapate wa kuwapiga mizinga, wa kuwatoa out, kuwapa lift au kufurahia starehe za aina zozote zile;
viii. watu wazima wanaowinda vivulana vidogo (ngorongoro boys);
ix. wanataka mahusiano ili kuondoa nuksi au kuweka record ya kuwa na mahusiano mengi ya aina mbalimbali na watu tofautitofauti.
Kuna hii special case niliisahau, yaani mtu umetisha mtaani kiasi kwamba kwa tabia zako zilizopinda jamii inayokuzunguka inakujua mwanzo mwisho kiasi cha kuona uzame jf ili ukamate kichwa kisichokujua kabisa background yako. Noma hapa ikiwa madude yako ya nyuma yatafumuka wakati tayari upo kwenye uhusiano!
Naomba tuchangie kutoa ushauri aidha wa kuwasadia namna ya kuendeleza harakati zao kwa ufanisi zaidi, au kama wanayofanya sio mazuri basi toa ushauri ili waache, na wape njia mbadala za kutatua matatizo yanayowakabili.