Wakuu nawashukuru nimejaribu mlivyonishauri imesaidia sana. Ni mtoto wa miaka mitatu(ke). Nilikuwa narudi kazini nikakuta kijana wa kazi anamhangaikia bila mafanikio. Bahati bibi mmoja jirani alikuja na ngoma ndogo akaipasha moto kidogo akamkandamiza kiasi akatoa mashuzi ambayo hajawahi kutoa. Ndipo akaenda haja na asubuhi hii ameamka salama. Nawashukuru wakuu kwa miongozo yenu