D dm2000inter Member Joined Oct 27, 2010 Posts 29 Reaction score 10 Jul 1, 2014 #1 Wana JF, Naomba msaada wenu kwa mtaalamu wa mageti ya nyumba ya chuma. Kwa yeyote mwenye picha tofauti tofauti anisaidie please wezi wananinyemelea. Naomba picha za mageti ya kisasa sio la ku-slide. Nawashukuru wana JF maana najua hapa ni kila kitu
Wana JF, Naomba msaada wenu kwa mtaalamu wa mageti ya nyumba ya chuma. Kwa yeyote mwenye picha tofauti tofauti anisaidie please wezi wananinyemelea. Naomba picha za mageti ya kisasa sio la ku-slide. Nawashukuru wana JF maana najua hapa ni kila kitu