Lager JF-Expert Member Joined Mar 4, 2019 Posts 396 Reaction score 1,091 Dec 7, 2019 #1 Madaktari hebu nisaidieni meno yangu yanapukutika sijui kwanini! Jino linapukutika tu mwishowe linakatika lenyewe. Nini tiba?
Madaktari hebu nisaidieni meno yangu yanapukutika sijui kwanini! Jino linapukutika tu mwishowe linakatika lenyewe. Nini tiba?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,638 Reaction score 220,410 Dec 7, 2019 #2 Mara yako ya mwisho kufanya dental checkup ni lini?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,609 Reaction score 860,787 Dec 7, 2019 #3 Tatizo ni calcium imepungua sana.. Yani una uhaba wa hayo madini mtenzi24 said: Madaktari hebu nisaidieni meno yangu yanapukutika sijui kwanini!! Jino linapukutika tu mwishowe linakatika lenyewe!! Nini tiba..? Click to expand...
Tatizo ni calcium imepungua sana.. Yani una uhaba wa hayo madini mtenzi24 said: Madaktari hebu nisaidieni meno yangu yanapukutika sijui kwanini!! Jino linapukutika tu mwishowe linakatika lenyewe!! Nini tiba..? Click to expand...
Lager JF-Expert Member Joined Mar 4, 2019 Posts 396 Reaction score 1,091 Dec 7, 2019 Thread starter #4 Sky Eclat said: Mara yako ya mwisho kufanya dental checkup ni lini? Click to expand... Sijawahi
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Dec 7, 2019 #5 Mshana Jr said: Tatizo ni calcium imepungua sana.. Yani una uhaba wa hayo madini Click to expand... Kwa tiba zetu zile za kimeditesheni tunawezaje kuyarejesha hayo madini ya Calcium?
Mshana Jr said: Tatizo ni calcium imepungua sana.. Yani una uhaba wa hayo madini Click to expand... Kwa tiba zetu zile za kimeditesheni tunawezaje kuyarejesha hayo madini ya Calcium?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,638 Reaction score 220,410 Dec 7, 2019 #6 mtenzi24 said: Sijawahi Click to expand... Msaada mkubwa utaupata kwa dentist
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,609 Reaction score 860,787 Dec 8, 2019 #7 Sina ujuzi sana kwenye tiba za kizungu ila hizi mbadala ni vitu vyenye asili ya uchachu nadhani kama ndimu Mwifwa said: Kwa tiba zetu zile za kimeditesheni tunawezaje kuyarejesha hayo madini ya Calcium? Click to expand...
Sina ujuzi sana kwenye tiba za kizungu ila hizi mbadala ni vitu vyenye asili ya uchachu nadhani kama ndimu Mwifwa said: Kwa tiba zetu zile za kimeditesheni tunawezaje kuyarejesha hayo madini ya Calcium? Click to expand...
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Dec 8, 2019 #8 Mshana Jr said: Sina ujuzi sana kwenye tiba za kizungu ila hizi mbadala ni vitu vyenye asili ya uchachu nadhani kama ndimu Click to expand... Ndio nilimaanisha hizo expert wa kilinge[emoji23][emoji23]
Mshana Jr said: Sina ujuzi sana kwenye tiba za kizungu ila hizi mbadala ni vitu vyenye asili ya uchachu nadhani kama ndimu Click to expand... Ndio nilimaanisha hizo expert wa kilinge[emoji23][emoji23]
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 371,609 Reaction score 860,787 Dec 8, 2019 #9 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116] Mwifwa said: Ndio nilimaanisha hizo expert wa kilenge[emoji23][emoji23] Click to expand...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116] Mwifwa said: Ndio nilimaanisha hizo expert wa kilenge[emoji23][emoji23] Click to expand...