msaada wa haraka LG P970

Luno G

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2012
Posts
2,550
Reaction score
1,852
heshima kwenu wanajamvi natumia simu ya lg p970 ila changamoto kubwa niliyokutana na simu hii ni kutokubali kuonyesha salio(*102#), pamoja na menu za tigo pesa, airtel money, m pesa, nmb mobile nk. nimejaribu kufuatilia nilipochukua hii simu wameniambia hili ni tatizo la lg zote za p970. wamenipa option ya kubadili simu au niitumie kama ilivyo

msaada ninaohitaji je hakuna namna yoyote ya kuifanya simu yenye tatizo kama hiki kufanya kazi? iwe kwa kupata application yoyote ile ambayo inaweza ikawezesha huduma hizi kufanya kazi au kwa namna yoyote ile?

ahsanteni!
 
Nadhani msaada wa haraka ulikuwa kubadilisha simu kama ulivyoshauriwa hapo uliponunua.
 
Nadhani msaada wa haraka ulikuwa kubadilisha simu kama ulivyoshauriwa hapo uliponunua.
shukrani Hud kwa ushauri wako jamaa amenipa muda kama wiki ili kama sitaridhia basi niirudishe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…