Msaada wa haraka kwa mwenye uelewa

Msaada wa haraka kwa mwenye uelewa

JITA MAN

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
31
Reaction score
2
Mbona sasa iv tcu ukienda sehemu ya kuview selection kozi hazionekani hii ni kwa wale wa 2nd round tcu ingia kwenye profile yako ujionee hii inamaana gani wakuu nawasilisha!
 
Database is not accessible,,, hopefully something is happening,,
tuwe wavumilivu,,, tusubiri tuu,,,,
 
ukiona hivo ujue system bussy majina ndo yanafanyiwa mchakato sasa. piga maombi kijana mungu akujalie coz life lina utata
 
vip wale ambao hawakufanya second raund lakin batch 1 hawakuemo mbna profle zao zimeandika 2nd raund has been closed??? msaaada wakuuu hapo
 
Duuuuuuu!!!
-2
0
0
0
0
remaining capacity, hiyo ina maana gan? msaada
 
Back
Top Bottom