Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,798
- 3,257
Wakuu habari zenu, jumapili ya tar 5/12/21 nkifanya process ya unlock bootloader ya kimeo changu redmi 8a, nlipambana sana mpaka kuja kufikia hatua ya kupewa muda wa kusubiri baada ya masaa 69, tatizo likatokea kesho yake windows kwenye PC ikazingua ikabidi nipige upya hapo ndo msala uka anza jana muda wa ku unlock ulifika nka log in vizuri kwenye MI UNLOCK TOOL, ila simu ikawa haiwi detected nkapiga drivers zote ninazo zijua lakini wapi, drivers nliweka MINIMAL ADB DRIVERS, SDK PLATFORM TOOL, sasa FASTBOOT drivers sijui ndo msala make kila nikigoogle fastboot drivers nakutana na ADB drivers, aliwai kufanya hii kitu please msaada wake tafadhali.
Chief-Mkwawa.
Kilangi masanja
kcamp
Chief-Mkwawa.
Kilangi masanja
kcamp