Msaada wa haraka juu ya money exchange rate

ANT DRUGS

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
5,583
Reaction score
7,064
Jaman nawaombeen mwenye kujua dollar moja ilikuwa TSH ngp kwa siku mbili zilizopita?coz nimeambiwa huwa zina vary kila siku.Natafuta kwenye internet mtandao unazingua
 
Exchange ya wapi sasa maana kuna rate za paypal, Aliexpress za mabenk yetu n.k
 
Jaman nawaombeen mwenye kujua dollar moja ilikuwa TSH ngp kwa siku mbili zilizopita?coz nimeambiwa huwa zina vary kila siku.Natafuta kwenye internet mtandao unazingua

Average 1700/= tzs per 1$ ila inapanda mpaka 1729/= kwa paypal kama ukichagua kuwa billed na paypal conversion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…