Nilikuwa nasoma pdf file mara ghafla screen ya computer yangu dell latitude d600 ghafla ikabadirika rangi na kuwa ya blue na some error msg zikajionyesha. Nimeizima na kuanzia hapo haiwaki tena! Kila nikiwasha inajaribu kuwaka (bila ku-display chochote kwenye screen) na kuzimika. Nifanyeje?