Msaada wa haraka jamani

Msaada wa haraka jamani

Elementi

Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
60
Reaction score
157
PC yangu ilikua nzima kabisa ...ila kuna mambo madogo madogo hayakuwa poa,nikashauliwa niipige Window...

Kwenye kupuga window naona mambo kama yameharibika zaidi
Yaani inagoma...

IMG_20191011_123138_8.jpeg


Wenye kujua haya mambo naombeni mniambie shida itakuwa ni nini hapa
 
Elementi Tafuta mtu mwenye DVD ya windows then fanya installation au tafuta flash akuwekee bootable. Ni simple sana hiyo
 
Kwa nyongeza tuu. Kuna uwezekano cd unayotumia, mlango wakusomea cd, kama ni flash imecorrupt au mafile hayajakamilika.

Pili kama umedowngrade kutoka window ya juu kujaya chini hasa kama ni win8 au win10 kwenda win7, kuna baadhi ya setting za kufanya b4 installation.

so ongeza nyama tusaidiane.
Je unatumia nini kati ya cd flash na internet kufanya installation?

U abadirisha win kutoka ipi kwenda ipi?
Shukrani mkuu
 
Hii nishida inayotokana na kutumia modified windows. Installation disk ulyotumiia ndyo inashida. Inawezekna kuna vitu iliruka katika installation.
 
Back
Top Bottom