habarini wakuu ninaomba msaada wenu , nilikuwa namfanyia mdogo wangu application nacte Jana jioni sasa nikatuma elfu thelatini kwenye mpesa kwa kufuata zile process zao wanazotaka .sasa toka Jana nasubiri confirmation code sijatumiwa na kesho ndio deadline.sasa sielewi ndio hela imeshapotea au ?,nimewapigia voda wamenipa namba za nacte , lakn nacte pia hawapokei nikiwapigia sasa ninechanganyikiwa sana manake sijui nini kinaendelea manake siwez kuendelea na hatua nyingine ....masaada wenu jama n nifanyeje ...manake najua wapo waliopitia kama niliyopitia Mimi ...naombeni jaman tusaidiane!