kim jung shik Senior Member Joined Mar 26, 2014 Posts 129 Reaction score 23 May 23, 2016 #1 Jamani mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ATC nasoma telecomunication and electronics. Natafuta field sasa kuna kampuni inaitwa CAM SAT sijui ipo wapi, nataka nikaombe hapo. Jamani nisaidieni wiki ya tano sasa toka field ianze mimi bado
Jamani mimi ni mwanafunzi wa chuo cha ATC nasoma telecomunication and electronics. Natafuta field sasa kuna kampuni inaitwa CAM SAT sijui ipo wapi, nataka nikaombe hapo. Jamani nisaidieni wiki ya tano sasa toka field ianze mimi bado