Msaada wa haraka jamani, nahisi naumizwa mda si mrefu

Mangimeli

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
1,155
Points
1,250

Mangimeli

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2011
1,155 1,250
Jamani wadau nipo apa, Ferry upande wa magogoni kuna kajibaa flani apa uwaga tunakaaga tukisubiria kivuko, napiga safari yangu ya baaariidi, kaja jamaa mmoja, kajiintrojuce kwangu yeye ni forenar katokea pande za kwa kibaki, amekuja tafuta job apa tz, kwa apa tz amefikia ubungo kwa rafiki yake na ana Digree ya Accautancy amegraduate last year.

ILA SASA ameniambia uku posta alikuja kwa ajili ya kuangalia ela zake KCB BANK ila amekuta bdo azijzfika ivyo ANOMBA NIMPE JAPO ELA KIDOGO ATA NAULI YA KUMRUDISHA UBUNGO kwa mshikaji wake alikofikia,wadau nipeni ushari faster, apa napotuma ihii yupo pembeni yangu..
 

NIMIMI

Senior Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
170
Points
170

NIMIMI

Senior Member
Joined Apr 2, 2011
170 170
Ni tapeli huyo, kwanza jihadhari na spray utalala sasaivi halafu akuchukulie kila ki2 na Benki KcB Hata kenya ipo iweje Aje Tz? Temana nae. Hata cc wahasibu wapo arudi kwao kenya.
 

Kicheruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2009
Messages
791
Points
195

Kicheruka

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2009
791 195
Mwambie atembee kwa miguu, kutoka mjini mpaka Ubungo ni karibu sana baada ya lisaa moja atakuwa ubungo, wazalendo wengi wasio na kipato umbali huo karibu kila siku wanatembea kwa mguu to/from town
 

Bigirita

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Messages
15,820
Points
2,000

Bigirita

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2007
15,820 2,000
Mwambie atembee mdogomdogo!
Kcb kwa nini hakuja mlimani city kutokea ubungo si ndio karibu zaidi?
Atambae zake!
 

ureni

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Messages
1,274
Points
1,250

ureni

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2011
1,274 1,250
Siku nyingine usithubutu kutoa hela ovyoovyo especial kwa watu ambao hauwafahamu,na wanapoanza kujiita wakenya ujue ni watapeli wakubwa,inawezekana huyo jamaa alikua anafanya mpango wa kujua una shilingi ngapi mfukoni ili akulie timing nzuri zaidi ya kukutapeli,pia kuna wengine walee kutoka congo wanakuibia kwa njia ya mazingaombwe so next time be very carefully
 

Forum statistics

Threads 1,379,520
Members 525,449
Posts 33,748,059
Top