msaada wa haraka jamani laptop yangu

msaada wa haraka jamani laptop yangu

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
laptop yangu aina ya dell nikiiwasha inaandika ''MANUFACTURING MODE:LEVEL [67]. Press fn-x to return the system to the normal running mode''. nashindwa iyo fn-x naibonyezaje, nifanye nini laptop yangu ipone?
 
Hapo nadhani unatakiwa ubonyeze button ya fn+x (yaan bonyeza fn alafu wakati huohuo bonyeza herufi x)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom