Jamaa yangu alijisajili kusoma Dilpoma nyingine mara baada ya GPA 3.5 kuwa kikwazo. Mara baada ya kuruhusiwa kuomba kwa GPA ya 3.0; kila akijaribu kujisajili anaambiwa alishasajiliwa. Lakini usajili wake ni wa Diploma na siyo Degree. Kipi anaweza kufanya ili aweze kuomba kujiunga na Degree?