liberty city ni gta la psp bwana kwa pc kuna gta 1, 2, san andreas. Vice city na gta 4 tu
hilo ulochukua ni san adreas na ulichukua setup pekeake au file zima la game pia mkuu libert city ni psp game kama alivosema mkuu apo juu
nililochukua ni gta libery city (wengine huliita gta3 kama sikosei) pia ilikuwa ni setup peke yake kaka yangu
Brother gta 4 na jipyaaaaaaaaaaaa gta vice city vikatuni hata hayafanani hata kiduchumkuu gta4 ndo vice city
Vipi Chief hiyo gta 4 unayo mkubwa?
mkuu ilo gta 4 story yake inaanzia wap chief-mkwawa
Nenda hapa details zote utapata Grand Theft Auto IV - Wikipedia, the free encyclopedia
kwel nimeliona liko poa grafics developed ila nahisi ukubwa wake utakua tatizo kwenye pc mkuu
Setup yenyewe gb 14
Processor: Intel Core 2 Quad 2.4GHz or equivalent AMD Phenom X3 2.1GHz
Memory/RAM: 2.5 GB for XP or Vista Video Card: 512MB NVIDIA 8600 or 512MB ATI 3870
Hard Disk Space: 18GB free
Operating System: Windows XP SP3 or Windows Vista SP1
Kwahyo in windows 7 halpiga
gamestar wana gta 1,2,3 ambayo ni san andreas na 4 ambayo ndo version ya mwisho kwa pc almaarufu kama vice city na pia wana libert city kwa psp inabidi ukubali apo mkuu na pia hauwezi kuinstall setup pekeake cha kufanya kachukue file zima la game uliweke ndo uinstal upo apo