Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,179 Reaction score 1,500 Aug 6, 2022 #1 Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani Nawezaje kusolve tatizo hili CC.Chief mkwawa popote ulipo
Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani Nawezaje kusolve tatizo hili CC.Chief mkwawa popote ulipo
promethus JF-Expert Member Joined Feb 22, 2016 Posts 1,287 Reaction score 2,191 Aug 6, 2022 #2 Hyo simu nasikia huwezi kufowadi sms au uongo?
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,856 Reaction score 3,390 Aug 6, 2022 #3 Mtukutu Mkuu said: Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani Nawezaje kusolve tatizo hili CC.Chief mkwawa popote ulipo View attachment 2315820 Click to expand... Change config file unalo tumia, litakua sio la model ya simu yako nahisi, Kwangu nashauli tumia lmc helena gcam.
Mtukutu Mkuu said: Habari za asubuhi wadau kuna shida imejitokeza baada ya kuweka gcam 8.2 kwenye Xiaomi Redmi 10c kila nikipiga picha zinatoka zikowa na rangi ya kijani Nawezaje kusolve tatizo hili CC.Chief mkwawa popote ulipo View attachment 2315820 Click to expand... Change config file unalo tumia, litakua sio la model ya simu yako nahisi, Kwangu nashauli tumia lmc helena gcam.
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,179 Reaction score 1,500 Aug 6, 2022 Thread starter #4 Baba Rhobi said: Change config file unalo tumia, litakua sio la model ya simu yako nahisi, Kwangu nashauli tumia lmc helena gcam. Click to expand... Shukrani
Baba Rhobi said: Change config file unalo tumia, litakua sio la model ya simu yako nahisi, Kwangu nashauli tumia lmc helena gcam. Click to expand... Shukrani
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,179 Reaction score 1,500 Aug 6, 2022 Thread starter #5 promethus said: Hyo simu nasikia huwezi kufowadi sms au uongo? Click to expand... Kama ni hii mi Redmi 10 inaforward na hakuna simu isiyo forward Mzee labda back 90s huko [emoji16]
promethus said: Hyo simu nasikia huwezi kufowadi sms au uongo? Click to expand... Kama ni hii mi Redmi 10 inaforward na hakuna simu isiyo forward Mzee labda back 90s huko [emoji16]
Mtukutu Mkuu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 1,179 Reaction score 1,500 Aug 6, 2022 Thread starter #6 Baba Rhobi said: Change config file unalo tumia, litakua sio la model ya simu yako nahisi, Kwangu nashauli tumia lmc helena gcam. Click to expand... Imekubali Ila inaleta detail kwamba imecontain Trojan virus
Baba Rhobi said: Change config file unalo tumia, litakua sio la model ya simu yako nahisi, Kwangu nashauli tumia lmc helena gcam. Click to expand... Imekubali Ila inaleta detail kwamba imecontain Trojan virus
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,856 Reaction score 3,390 Aug 7, 2022 #7 Mtukutu Mkuu said: Imekubali Ila inaleta detail kwamba imecontain Trojan virus Click to expand... Du simu na virus wapi na wapi
Mtukutu Mkuu said: Imekubali Ila inaleta detail kwamba imecontain Trojan virus Click to expand... Du simu na virus wapi na wapi