Labda kambi ya jeshi-tumetoka mbali ilani usipige picha hapa kambi ya jeshi! Leo hii google wanaweka kila kitu hadharani ,aerial view with zoom in option.
kwa bongo nahisi pale ikulu ndio huoni latest image ila kwingine kote unaona. :tongue:
Kma huwezi kusaidia piga kimya! watu wengine mnaudhi....
acha uvivu kwa kukimbilia kila kitu JF utadhania humu kuna database ya majibu, kwenda google na search ukiona hupati nenda download google earth simulator....acha kulia lia tutakupeleka JKT :tongue:
Wanajamvi nisaidieni ninazo coordinats hizi 02[SUP]°[/SUP]31'34.2" South and 32[SUP]°[/SUP]53'43.9" E kila nikijaribu kupata picha yake kwenye google map sipati sijui nakosea wapi. eneo hili ni Magu Mwanza
Andika coordinates zako kwa mtindo wa 02[SUP]°[/SUP]31'34.2" S, 32[SUP]°[/SUP]53'43.9" E Unaweza ukaserch kwenye google earth then ukaipeleka kwenye google map. Hizi coordinates zinaonyesha ni maeneo ya capri point - Mwanza. https://www.google.com/maps/preview...5278!3d-2.5261667!3m2!1i1366!2i576!4f35&fid=7
Mkuu Kwai Asante sana ila nahisi kuna tatizo sehemu, GPS hizi zilichukuliwa manually na ni Mwanza-Musoma high kama KM 30 toka Mwanza Mjini!! kulekea Musoma maajabu map inaonyesha Kapripoint!!
Coordinates hizo kuonyesha capri-point in kwa mujibu wa google earth na google map; unaweza ukawaona wataalam wa kitengo cha Ardhi pale Mwanza kwa msaada zaidi.
Coordinates hizo kuonyesha capri-point in kwa mujibu wa google earth na google map; unaweza ukawaona wataalam wa kitengo cha Ardhi pale Mwanza kwa msaada zaidi.