Msaada wa fundi tafadhari

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
Watapata kweli fundi wa hii?
 

Attachments

  • 1415176445830.jpg
    54.2 KB · Views: 359
Hii inafanana na ile ya zamani kidogo ya kakakuona na kwa sasa sijui kama bado ipo
 
Halafu ina gear ya baiskeli hapo sasa naona fundi wote watakutana hapo
 
Hii inafanana na ile ya zamani kidogo ya kakakuona na kwa sasa sijui kama bado ipo

Kuna watu wanamawzo / plan nzuri sana ila hawapewi sapoti stahiki hivyo ni vigumu huo ubunifu kuendelea kuwepo!
 
Halafu ina gear ya baiskeli hapo sasa naona fundi wote watakutana hapo

Hahahahahahaaaa ....kukutanisha mafundi wote hapo ni matumizi mabaya ya rasilimali watu!
 
Watu wanavipaji sana, sema uzungu umejaa hadi kwenye mikojo yetu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…