Kuna wakati walitangaza kwamba watakuwa hawaonekani kwenye receiver za MPEG-2 ambazo wengi wetu tunatumia, kwa mtazamo wangu, na kuhamia kwenye MPEG-4. Na mimi siku hizi siioni nafikiri ndiyo tayari wameshahama kwahiyo ukiitaka kupitia satelite receiver badilisha uliyonayo. Kama kuna jingine tofauti na hilo tutaelezwa na wadau wengine. Na mimi sijui tofauti ya hizo MPEG-2 na MPEG-4.