icca Senior Member Joined Nov 8, 2014 Posts 187 Reaction score 177 Sep 24, 2019 #1 Salami wana jukwaa, Nataka kufungua biashara ya mpesa morogoro,msaada wa mwemye kibanda anapangisha au fremu kwa maeneo yoyote yaliyochangamka apa mjini, nmejitahidi kutafuta mwenyewe naona inakua ngumu, Natanguliza shukrani.
Salami wana jukwaa, Nataka kufungua biashara ya mpesa morogoro,msaada wa mwemye kibanda anapangisha au fremu kwa maeneo yoyote yaliyochangamka apa mjini, nmejitahidi kutafuta mwenyewe naona inakua ngumu, Natanguliza shukrani.
Mr.genius JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,372 Reaction score 1,207 Sep 24, 2019 #2 Mh! Mbona ma fremu yapo kibao meengi tu, mkuu? Au labda kama una location zako unazozitaka.