wOn LifE
Member
- May 31, 2017
- 31
- 11
Mimi mtafutaji kama watu wengine,nimekuwa nikifuatilia thread moja humuhumu JF, uliandikwaga na ONTARIO..
Nimeanza kufuatilia na kusoma baadhi ya articles zinazoelezea FOREX FOR BEGINNERS, nimedownload YouTube videos mbalimbali zinazoelezea how to win/lose with FOREXz...na nimeshaanza kupiga pesa ila kwa PRACTICE ACCOUNT (Nikifanikiwa elewa vya kutosha nataka nianze invest in this FOREIGN EXCHANGE MARKET/FOREX.
Lakini bado sijapata vitabu au reference books ambavyo vitanifanya nielewe vizuri kwa ufanisi kuhusu forex market.
NB:
(a)Hata vitabu ambavyo ninaweza kupata katika NORMAL BOOKSHOPS.
(b)Nisaidie JINA LA KITABU au MWANDISHI (+ Edition ya ngap )
/FAILURE NEVER FINAL&SUCCESS NEVER ENDING/