Alemechs
Member
- Sep 10, 2021
- 10
- 11
Wakuu za habarini za sahizi, naishi mkoani mbeya, nilikuwa na naomba msaada niweze kupata sehemu wanapofanyia fabrication ya vifaa mbali mbali vinavyohitaji plastic molding na kuhusisha mfumo mzima wa electronics wenye sensors an microcontrollers, so naombeni msaada wa mahala wanapofanyia hzo shughuli kwa mkoani Mbeya amahata mikoa jiran na Mbeya.