AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,647
- 4,753
Jamani nina shida ya setup ya euro truck simulator 2, kama mnavyojua size yake kuidownload ni almost 2GB na network system ya bongo ni mbovu...so guys plz naombeni msaada wenu hata anichek anisaidie namna ya kupata hiyo kwa urahisi...nipo UDSM now...