msaada wa error kwenye opera mini.

Joined
Feb 5, 2012
Posts
63
Reaction score
6
wanajamvi na shida na kutumia opera mini kwenye simu yangu ninaandika domain name vzur nikiload inaandika check date settng au ur internet prvder nimechange tarehe lakn haifai.anaeyejua hii makitu anisaidie plz
 
Unatumia simu gani na model yake
Maranying mchina anasumbua sana kwenye mambo hayo
 
Angalia tarehe. Pia time hakikisha muda upo correct
 

Source Moja ya comment kutoka Opera community forum

Isipofanya kazi soma michango ya wadu wengine yenye sense
 
Opera mini haiwezi kufanya kazi kama kama settings za time and date haziko sahihi. Unachotakiwa kufanya ni kurekebisha settings za time and date na opera mini yako itafanya kazi kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…