BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,224 Reaction score 4,186 Sep 1, 2010 #1 Shalom Waungwana. Tafadhali sana naomba kwa yeyote mwenye email za watu hawa anisaidie: James Mbatia - Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe. Mustafa Sabodo - Mfanyabiashara. Mohamed Dewji - Mbunge wa Singida mjini. Natanguliza shukurani nyingi kwa msaada.
Shalom Waungwana. Tafadhali sana naomba kwa yeyote mwenye email za watu hawa anisaidie: James Mbatia - Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe. Mustafa Sabodo - Mfanyabiashara. Mohamed Dewji - Mbunge wa Singida mjini. Natanguliza shukurani nyingi kwa msaada.
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,179 Reaction score 81 Sep 1, 2010 #2 Dewji nenda kwenye blog yake utaipata www.mohameddewj.blogspot.com hope umenisoma.
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,275 Sep 1, 2010 #3 James mbatia anapatikana kwenye face book......mcheck huko utapata na contact details zingine
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,408 Reaction score 166,820 Sep 1, 2010 #4 Sabodo mfuate meneja wake pale Mwenge kwenye jumba la sinema anaitwa lslam
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,224 Reaction score 4,186 Sep 1, 2010 Thread starter #5 nteni sana wakuu kwa michango yenu. Nitaendelea kusubiri wengine. Hiyo blog ya Mohamed Dewji kwa mwingine anayeitaka itambidi aongeze i pale kwenye Dewji
nteni sana wakuu kwa michango yenu. Nitaendelea kusubiri wengine. Hiyo blog ya Mohamed Dewji kwa mwingine anayeitaka itambidi aongeze i pale kwenye Dewji