Habari JF
Nina shamba maeneo ya Kisarawe na ningependa kulitumia kwa kilimo cha pilipili mbuzi japokuwa sina uzoefu na kilimo hicho.
Ninaomba msaada wa kitaalamu kwa kwa wazoefu kuhusu mambo yafuayayo:-
1. Ni mwezi upi ninatakiwa kulima na kupanda?
2. Mbolea gani zinatumika na kwa wakati gani?
3. Soko lake.
4. Mahitaji mengineyo na ushauri wa ziada pia unahitajika.
Asanteni.