Nataka saa sio calculator hivi umenielewa ww kweli
Mbona sioniView attachment 2522296
Kakamate kwa jamaa anauza hiyo elfu tatu ni saa orinal ya mshale
Saa ya 3500 kweli za wanafunzi
Hahahaha dah jf kweli stress freeAu labda tusubiri wengine waje kuelekeza maana mimi naeleza uzoefu wangu hasa sababu na mimi natumia hivo vitu kwa bei hiyo
Nenda morogoro ple stand ya hiace ya zamani ukishuka tu ple kwenye ile round about maduka ya viatu yapo mengi sanaaa tena ivo uloviweka kwenye picha apo na saa pia zipoHabar
Naomba kufahamishwa location morogoro mjini
Duka la Viatu quality
Na Duka la saa za mkononi original
Example [emoji116]
Asanteni.View attachment 2522293
View attachment 2522294
Stend ya hiace ya zamani ndo wapi toa ifafanuzi vizuriNenda morogoro ple stand ya hiace ya zamani ukishuka tu ple kwenye ile round about maduka ya viatu yapo mengi sanaaa tena ivo uloviweka kwenye picha apo na saa pia zipo
Nimeimiss moro