Msaada wa DRIVERS

Sometimes

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Posts
4,536
Reaction score
1,137
Viongozi naomba msaada wenu wa kupata drivers kwa ajili ya "HIGH SPEED EDGE/GPRS MODEM maximum transmitting speed 460.8 KBps". Nimejaribu bila mafanikio kui-google.
 

Attachments

  • usb modem.jpg
    6.6 KB · Views: 52
plug it in your pc


go to device manager


select the device and click the properties

go to the details tab.

In the properties, select Hardware Ids

you should get something like this

"USB\VID_8087&PID_0020&REV_0000"


copy that into google, and you should get the drivers for that specific device....

this method works for any type of missing drivers...
 
Kaka nashukuru kwa ushauri wako mzuri. Hata hivyo baada ya ku insert modem kwenye pc, nimeenda kwenye device manager lakini haikutokea/haionekani. Kwa maana hiyo process zingine zimekwamia hapo. Lap top yangu ni Toshiba, OS window vista.
 
Tafadhali naomba mnisaidie, ninataka kutumia simu yangu kuingia kwenye internet lakini nataka nikiwasha simu niunganishe na laptop yangu kwa bluetooth, sasa sina wireless bluetooth software???? siyo kutumia bluetooth gadget bali nataka communication ya simu na computer iwe kwa wireless through bluetooth;;;;I hope you understand wataalam wangu....Saidia software
 
Unatumia computer aina gani? je hiyo comp ina hardware bluetooth coz hauwezi kufunga drive wakati mashine haisupport bluetooth,kama ikishindikana kabisa tumia bluetooth dongle.
 
mnhhh edge high speed?? Gprs high speed?? Hio lugha ya kibiashara tu gprs yenye kasi zaidi duniani inarange 90 mpaka 99kb/ps kibongo bongo edge na gprs ipo 6kb/ps hadi sanyengine 2 sumtime 0.5
 
mnhhh edge high speed?? Gprs high speed?? Hio lugha ya kibiashara tu gprs yenye kasi zaidi duniani inarange 90 mpaka 99kb/ps kibongo bongo edge na gprs ipo 6kb/ps hadi sanyengine 2 sumtime 0.5

Kiongozi mimi nimeomba msaada wa drivers! Sasa issue unayozungumzia mbona haina tija kwangu? Kama hauna msaada ungeenda kwenye thread nyingine!
 
Viongozi naomba msaada wenu wa kupata drivers kwa ajili ya "HIGH SPEED EDGE/GPRS MODEM maximum transmitting speed 460.8 KBps". Nimejaribu bila mafanikio kui-google.

Nahdhani umeshindwa google sababu hukufafanua ni modem gani unatafuta driver zake

Ni sawa sawa useme unatafuta High definition drivers za monotor au VGA. bila kutaja speciific model ya monitor
 
Nahdhani umeshindwa google sababu hukufafanua ni modem gani unatafuta driver zake

Ni sawa sawa useme unatafuta High definition drivers za monotor au VGA. bila kutaja speciific model ya monitor

Mkuu kilichonifanya kuomba msaada ni kwasababu maelezo ya modem katika box lake hayakujitosheleza. Maelezo yaliyoandikwa ni hayo niliyoyatoa. Kutokana na utata huo, niliamua kuweka PICHA ya modem hiyo ili kama kuna mwanajamvi anayo au anaifahamu anisaidie. Vinginevyo, nisingekuwa na haja ya kuwasumbueni wanajamvi kwavile abc za mitandao hazinipigi chenga!
 

Mkuu ndio maana nasemai meshindikana hata wewe kupata hizo driver google kama sabbau hakuna model au brand. itakuwa kazi hata kwa mtu yeyote kuja na maelekezo. Kwa ujuzi wangu mdogo wa komyuta ndio najua driver zinategema model na brand ya device .

je kwenye hilo box hakuna tovuti ya hao watengenezaji ?

Otheriwise Hakuna usumbufu. Ndio kubadilishana mawazo na kushare knowledge Pamoja na ujuzi wangu kiaisa kuna vitu najifunza vipya hapa na sehemu nyingine kila siku

vile vile jaribu kuichomeka hiyo modem angalia kwenye device manager kama kuna any yelllow sign inaweza kukupa clue za details za hiyo modem

Pole sana mkuu
 
Pole ila ninayo edge modem.

hizi modem ni plug and play. yaani zina driver zake humo humo anyway ngoja niangalie kama notaweza kuzituma maana nimemuachia mtu aitumie na yupo mbali ni cheki PM
 
View attachment 32796HAYA CHUKUA HILI FILE na ufurahiiiiiiiiiiiiii

kuna driver na software yake

Kaka nime click hiyo attachment yako inaniambia "invalid attachment specified. if you followed a valid link, please notify the administrator" mwisho wa kunukuu! Kiongozi kama ni utani ungesema ingawa mimi siyo mtani wako!
 
So is that wat u think.........kwamba nakutania. ?!! ok
 
Kaka nime click hiyo attachment yako inaniambia "invalid attachment specified. if you followed a valid link, please notify the administrator" mwisho wa kunukuu! Kiongozi kama ni utani ungesema ingawa mimi siyo mtani wako!

Sasasa mkuu mbona unaonekana uko desparete sana. Ujumbe huo uliioupata kama umeeulewa basi ungewasilaiana na admin. Yaani muandikie inivisible au muombe jamaa akuweke kwenye file sharing site.

Kama na wewe unatutania huna tatizo tumabie tuambie teh teh teh teh .

Anyway kifupi na mm nimejaribu kufungua nimepata ujumbe huo huo so my be ni file extension ya exe. Wanaweza kuwa wameset watu wasiwekwe executable file.

Otherwise shorabaoro ajaribu kuli zip hilo file may be atakutoa
 
Sasa imeshakuwa soo. Utenzi huu naona hautaisha!
 
Yaah mtazamaji amesema sahihi kabisa ungefatisha maelezo ya hiyo msg...

anyway nime upload hio kama .rar na nimeona kuwa ipo supported....so kama ni lazima ni upload tena...na mtu mwenyewe ushapoteza uaminifu dah...unadhani nikusaidiaje....contact mr invisible na mueleze akusaidie na hiyo attachment. sina msaada zaidi
 

Nimepata wabobezi wengine wamenisaidia.Nashukuru kwa mchango wako!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…