Habari wakuu, natumia dell vostro 1540 ilikua na linux sasa hivi nimeweka window 7 ila drivers mbili nimekosa kabisa ni ya webcam na bluetooth naombeni msaada hata wa link ambayo naweza kupata hizi drivers.

jaribu kuingia website yao ya dell. Utaenda sehemu ya downloads na utachagua aina ya pc unayotumia. Zitatokea drivers za vitu vingi, ww uchague tu unayoitaka na kui-download. Maybe this might help Dell Official Site - The Power To Do More | Dell