Msaada wa driver za canon ir 2420 tafadhari.

talentbrain

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2009
Posts
1,187
Reaction score
760
Habari zenu wadau..... Nina printer tajwa hapo juu na CD yake ila imegoma kwenye laptop yangu ya acer aspire E1-510.
Naombeni msaada jinsi ya kupata software hii ambayo itafanya kazi moja kwa moja.

natanguliza shukrani.
 
ahsante ndugu.... ngoja nijaribu hii... maana nimeshachanganyikiwa
usijali ukishindwa niambie lapu yako inatumia OS gani na ni Bit ngapi nikukokotolee......Tupo hapa JF kusaidiana Mkuu.......
 
ahsante.... nimefikia kutambuliwa kwa printer.... nikifanikiwwa

ahsante sana brother na Allah akubariki. nimefanikisha
Amina.......Nawe pia pamoja na JF ambayo inatufanya tusiwe wapweke.....
 
yes nimeshindwa..... ninai diownload ila ikifika kwenye kuserch jina la printer ili nii select inakataa kuonesha aina yoyote ya printer
Badilisha pia na USB cable itakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…