Msaada wa download subtittle

Ingia OpenSubtitlesau ww.yts subtitles.com kwa muvi tu.

Kama ni series ingia www.tv subtitles.com
Utapata subs za tv zote..
Kama ni pc lazima uwe na 7zip au WinRAR kuzi-Extract from zipped to srt format

Kama watumia somu unaweza pakua App ya Unzip App
 
Naombeni msaada wa kudownload subtittle
Kama unatumia app kama vlc au mxplayer (au zingine) zina option ya kudownload kutoka opensubtitles kama una internet. Japo siku izi naona wanataka uweke username na password...

Kama una download kwenye torrent movie nyingi zenye format ya mkv zina kuwaga na subs,

Kama una stream netflix, youtube au streaming services zingine uwa wanakuwaga na subs kwenye options
 
Nielekeze vizur hii
 
Nielekeze vizur hii
Toa maelezo vizuri, unata subtitle wapi?

1. Movie inaweza kuwa moja ila ina version tofauti, mfano directors cut, extended version n.k hapa zitakuwa na subtitle tofauti japo movie ni ile ile.
Lazima uelewe movie yako ni ipi, hawa wa torrent wana system yao ya kuname mfano
Interstellar.2014.720p.BrRip.x265.ethd.mkv

Lazima uielewe iyo, na subtitle zinakuja kwa namna hiihii. Hii ni kama una download manually.

2. Kama uko kwa pc, media player inayopendwa ni vlc, uwa ina option ya ku search subs. Ukichagua ina soma jina la movie inatafuta unachagua moja wapo

3. Kama unatumia simu ya android na unatumia vlc au mxplayer ukifungua movie kuna option ya subtitle
Itakuuliza una file au unataka online
Screenshot_20200828-174138_MX%20Player%20Pro.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom