Sio usingizi , Ni usingizi uliopitilizaHongera watu wanatafuta usingizi wewe unautaka
Nashukuru kwa mawazoNenda hospitali ukaonane na Dr, medicine haijawahi kuwa rahisi hivyo kwamba kutibiana online?
Mkuu usingizi wangu sio wa kawaidaNani aliekwambia kulala ni ugonjwa??? Kulala ni afya kijana......kikubwa tu usiji overwork sana kwenye kazi zako za kila siku....
Wataalam watatusaidia, nakumbuka kuna kipindi kilirushwa BBC kuhusu ugonjwa wa kulala.Walimhoji mwalimu flan wa Kenya, kiukweli ilikuwa ni tulio la aina yake, yaani teacher ilikuwa akisahihisha daftari mbili tayari usingizi. Alinyimwa hata kuendesha gari, kwani ikiwa hapigishwi story na mtu, ndani ya dakika 2 kashasinzia.Nani aliekwambia kulala ni ugonjwa??? Kulala ni afya kijana......kikubwa tu usiji overwork sana kwenye kazi zako za kila siku....
Hapana mkuuVipi hali hiyo huwa inaambatana na kujisikia kuchoka sana mwilini muda mwingi au hapana?
Hapana mkuuDalili za coronavirus hizo