Peter Majaliwa
Senior Member
- Jun 16, 2017
- 161
- 30
Dawa kwasikio linaalotoa muugurumo Kama kuna Maji na macho ambayo hayaonimbali
Dawa kwasikio linaalotoa muugurumo Kama kuna Maji na macho ambayo hayaonimbali
ni panda edge sijakuelewr
Peter, jaribu Kila wakati uzibe pua Kisha puliza. Ina saidia Sana. Pia waweza panda ndege na ukifika uendako uta sikia nafuu.
Shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua na hiyo shida nilipoteza pesa nyingi hospital. Siku moja nilipo toka msa Hadi nbi kwa ndege shida iliisha nilipo shukA kwenye ndege. Nikaanza kutafiti vipi ndege ndio nika gundua hiyo imballance Ina pungua kwa ku puliza pua ama hata kupanda ndege.ni panda edge sijakuelew
Yaap ni kweli hasa ule muda wa kupaa au kutua.... Kuna imbalance fulani hua znatokea kwenye masikioni panda edge sijakuelew
Naomba nielezee kwa upana ili na Mimi nipate suluhisho mamba maelezo Hindi ratio lilivyoanza na ulilimalizajeNilikua na hiyo shida nilipoteza pesa nyingi hospital. Siku moja nilipo toka msa Hadi nbi kwa ndege shida iliisha nilipo shukA kwenye ndege. Nikaanza kutafiti vipi ndege ndio nika gundua hiyo imballance Ina pungua kwa ku puliza pua ama hata kupanda ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
ko niwenapuliza kwa kuziba pua litafungukaNi tatizo kama hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kutudadafulia vizuri ili wengi tupate uelewa, kuouliza kivipiNilikua na hiyo shida nilipoteza pesa nyingi hospital. Siku moja nilipo toka msa Hadi nbi kwa ndege shida iliisha nilipo shukA kwenye ndege. Nikaanza kutafiti vipi ndege ndio nika gundua hiyo imballance Ina pungua kwa ku puliza pua ama hata kupanda ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nielezee kwa upana ili na Mimi nipate suluhisho mamba maelezo Hindi ratio lilivyoanza na ulilimalizaje