Msaada wa dawa ya sikio linalounguruma kama kuna maji

Nilikua na hiyo shida nilipoteza pesa nyingi hospital. Siku moja nilipo toka msa Hadi nbi kwa ndege shida iliisha nilipo shukA kwenye ndege. Nikaanza kutafiti vipi ndege ndio nika gundua hiyo imballance Ina pungua kwa ku puliza pua ama hata kupanda ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nielezee kwa upana ili na Mimi nipate suluhisho mamba maelezo Hindi ratio lilivyoanza na ulilimalizaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom