Msaada wa dawa ya kuondoa huu uvimbe kwa haraka

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,644
44,288
Habari za leo

Mimi nmepata uvimbe kwenye shavu baada ya kujigonga kwenye mlango sasa tatizo huu uvimbe unapungua taratibu sana nlienda hospital nkaandikiwa amplicox na dawa nyingine ya kujichua lakini bado haujaisha umepungua kidogo sana

Naomba mnisaidie kujua dawa nyingine ambayo inaweza kunisaidia kuindoa huu uvimbe kwa haraka.

Asanteni.
 
Pole sana!..
Unapungua taratibu hujasema unasiku ngapi hadi leo hii
Kuna kidonda hapo kwenye uvimbe
Insort uvimbe baada ya kuumia "is body inflammatory response to trauma" ni kawaida ina take time to resolve
Kama hakuna kidonda tumia hiyo hiyo gel ya kuchua itakusaidia...
 
Leo ni cku ya nne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom