IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,314
Ni miaka zaidi ya minne sasa nasumbuliwa na fungus wa miguu, nimetumia dawa kibao ikiwemo vidonge na tubes za kupaka lakini huwa napata nafuu tu wakati nikitumia dozi baada ya hapo tatizo linajirudia. kuna wakati nafikiri huenda hakuna dawa kabisa inayoweza kutibu.
jamani naombeni msaada wenu nitumie dawa gani niweze kuondokana na mateso haya ya miguu kwani kuna wakati vidonda vikizidi napata shida hata kutembea
natanguliza shukran zangu za dhati kwa mawazo yako yatakayo pelekea mimi kuondokana na tatizo hili