Kwanini usijiajiri mwenyewe utumie ujuzi wako wa computer mkuu.Mimi ni kijana wa 25 mkazi wa mbeya mjini .nimemaliza chuo kwa levels ya degree nimesoma ICT katika iyo field niko vizuri kwenye database ususani katika oracle na mysql katika kufanya designing (ERD) na Database administration.
Kwenye programming language ni java, java scripts, php na python. Html na css for Web development na mwisho niko ni networking katika IP na addressing lan and vlan configuration.
Samahani kwa kuandika haraka natanguliza shukurani.
Namba ya simu 0759211359
Mimi ni kijana wa 25 mkazi wa mbeya mjini .nimemaliza chuo kwa levels ya degree nimesoma ICT katika iyo field niko vizuri kwenye database ususani katika oracle na mysql katika kufanya designing (ERD) na Database administration.
Kwenye programming language ni java, java scripts, php na python. Html na css for Web development na mwisho niko ni networking katika IP na addressing lan and vlan configuration.
Samahani kwa kuandika haraka natanguliza shukurani.
Namba ya simu 0759211359
Napenda sana kufanya project tena niko vizuri hata kwenye system analysis kwanzia kwenye planning, analysis, designing and implementation saiz naitaji nipate experience kufanya kazi na team kubwa project za kufanya as solo developer zinakuwa za kawaida sana.Njia bora ya kuuza ujuzi ni kuweka project umewahi fanya, preferably open source ambazo mtu anaweza kuona. Siku hizi wenye "digrii za ICT" wamejaa. So degree sio diferentiator any longer!
Kwa kweli sijaiwai kifanya izo project ila kwa uelewa wangu najua naweza kumaseter iyo kazi haraka sana na nikafanya mambo makubwa sanaUnaweza kutengeneza hizi simu janja,laptops? Kuna vijana wanafanya designing ya Incubator/mashine za kutotolea vifaranga,kwa kutumia mifumo ya microelectronics/integrated circuits,mashine zinakuwa full automatic,
Ujuzi huu unao?
Jamaa kasema uweke project ulizo wahi kufanya, hata kama haziko hosted somewhere unaweza weka link ya github!!Napenda sana kufanya project tena niko vizuri hata kwenye system analysis kwanzia kwenye planning ,analysis ,designing and implementation saiz naitaji nipate experience kufanya kazi na team kubwa project za kufanya as solo developer zinakuwa za kawaida sana
Big shock, undergraduate ameshindwa kuelewa kitu rahisi kama hiki. Nimeshindwa kuoanisha jibu lake na ushauri wangu. Shocking indeed!Jamaa kasema uweke project ulizo wahi kufanya, hata kama haziko hosted somewhere unaweza weka link ya github!!
Lakini je una account ya github?
Fanya YouTube awe mwalimu wako, utajifunza vyingi.Napenda sana kufanya project tena niko vizuri hata kwenye system analysis kwanzia kwenye planning, analysis, designing and implementation saiz naitaji nipate experience kufanya kazi na team kubwa project za kufanya as solo developer zinakuwa za kawaida sana.
Kwa kweli sijaiwai kifanya izo project ila kwa uelewa wangu najua naweza kumaseter iyo kazi haraka sana na nikafanya mambo makubwa sana
Kwa kweli sijaiwai kifanya izo project ila kwa uelewa wangu najua naweza kumaseter iyo kazi haraka sana na nikafanya mambo makubwa sana
Kwa kweli nilikuwa sina project ila niliiamua kuingia jikon tayar nishaandaa project yangu ambayo iko tayari kwa matumizi kwa mtu yoyote aliye tayari kuiona anaweza nitumia email yake iliaweze kuiona iyo project. Pia kwenye iyo project sijatumia library yoyote code zimepigwa moja kwa mojaDaaa mwanangu ivi kweli umesoma IT mbona kama haupo serious ?????
Umeambiwa weka PROJECT ZAKO ZA IT ambazo umeshafanya au tuoneshe aina project ambayo umeifanyaaa
Unatafuta nafasi ya kazi unatarajia boss akupe email yake ili umtumie project? Kwa nini graduate mnakuwa wazembe kufikiri hivi?Kwa kweli nilikuwa sina project ila niliiamua kuingia jikon tayar nishaandaa project yangu ambayo iko tayari kwa matumizi kwa mtu yoyote aliye tayari kuiona anaweza nitumia email yake iliaweze kuiona iyo project. Pia kwenye iyo project sijatumia library yoyote code zimepigwa moja kwa moja