0767854945
Member
- Jul 5, 2013
- 74
- 2
Kuna rafiki yangu amechaguliwa kusomea ukutubi na ualimu ipi ni course nzuri kati ya hizi kimasirahi jamani msaada wenu tafadhari
ukutubi ni nini?
Duuh! Yaani hata neno lenyewe tu limekuwa gumu ni mambo yanayohusiana na maktaba @Oil
sasa ndugu yangu unataka kusoma maktaba hutapata wapi ajira bora ungesoma edu coz maktaba xa taifa ipo 1 tz
ukutubi ni nini?