Msaada wa chuo na kozi kwa matokeo haya

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,996
7,087
Naombeni msaada wa kozi nzuri yenye uwezekano wa kuajiriwa kwa urahisi kwa ndugu yetu mwenye matokeo haya:
CIVICS C
HISTORY D
GEOGRAPHY D
KISWAHILI D
ENGLISH C
PHYSICS F
BIOLOGY C
MATHEMATICS F
NB. Ualimu hataki.
Vile vile ningependa kujua upatikanaji wa ajira kwa wanaosoma katika chuo cha wanyamapori Pansiasi Mwanza na kozi ipi miongoni mwa zile zitolewazo hapa Pansiasi inaweza kuwa na dili zaidi kwa kuajiriwa serikalini
 
Namshauri kama ana mtaji au home wako vzr basi avhukue mtaji aanze biashara mengine atapata shid na atapoteza mda
 
Anataka kozi za afya kama vile clinical medicine au nursing lakini mimi naona Chemistry ndo imekwamisha ndoto yake hapo.
Kusoma course yeyote ya afy hana vigezo lzma uwe na at least D ya biology, physics, chemistry and mathematics inabidi ahamie faculty nyengine
 
Back
Top Bottom