Msaada wa chuo cha kusoma shahada ya Uzamili

Boid

Member
Jun 23, 2016
40
62
Poleni kwa kazi nzito ya kulijenga taifa hili changa. Nahitaji kujiendeleza kielimu kwa level ya masters, naombeni kujua chuo chenye ada ndogo hapa nchini na pia muda wa kusoma mpaka kumaliza kwa sababu kuna vingine nasikia ni mwaka mmoja tu unahitimu. Pia kwa yeyote aliyepitia OPEN UNIVERSITY anifungue kidogo nione kama ntawaweza. Ahsanteni watu wa Mungu
 
We sio msomaji!hiyo pesa ya ada unayotaka kuipoteza bora ufungue hata mradi wa kuku.
 
Mara nyingi muda mfupi unaendana na ada nyingi,lakini ungesema unataka kusoma Masters ya nini watu wakusaidie unaweza kupoteza muda wako kwenye hiyo Masters
 
Hujasema masters ya kitu gani, lakini CHUO KIKUU HURIA is the most affordable University and provides a quality education.
 
Poleni kwa kazi nzito ya kulijenga taifa hili changa. Nahitaji kujiendeleza kielimu kwa level ya masters, naombeni kujua chuo chenye ada ndogo hapa nchini na pia muda wa kusoma mpaka kumaliza kwa sababu kuna vingine nasikia ni mwaka mmoja tu unahitimu. Pia kwa yeyote aliyepitia OPEN UNIVERSITY anifungue kidogo nione kama ntawaweza. Ahsanteni watu wa Mungu
Bila kusema unataka masters kwenye field gani itakuwa vigumu kupata msaada. Ni kweli kuna vyuo unaweza kupata masters kwa mwaka mmoja lakini kwa field fulani siyo degree zote za chuo hicho. Funguka upate msaada.
 
UDSM School of Law (Main Campus) wanatoa
Master of Arts in Revenue Law and Administration (2 years)
(The rest below are one year courses)
Taught LLM-The LL.M. programme shall be completed in two semesters (≥70 courses on offer). You choose the courses you want to take. check their postgraduate prospectus fordetails
Taught LL.M in Commercial and Corporate Law
Taught LL.M in Taxation
Taught LL.M in Migration and Refugee Law
Taught LL.M in Procedural Law and International Legal Practice
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom