Habari wadau na simu yangu samsung j7 prime kabla nilikuwa narecord picha za video vizur tu sasa kuanzia juzi nikitataka kurecord video inaniletea ujumbe huu tatizo linaweza kuwa nini
Ukikutana na tatizo la camera kitu cha kwanza kabisa kwenye utatuzi ni kudownload 3rd party app from store. Tafuta software yoyote ya camera playstore kisha ujaribu kutumia kurekodi uone na huko itakataa pia?
Mkuu kwa uzoefu wangu niligundua kwamba tatizo kama hilo huwa linasababishwa na memory ya simu kuwa imebaki kidogo saana. Cha kufanya hakikisha unabakiwa na internal memory ya kutosha kwa kuhamisha baadhi ya file kwenda kwenye memory card.