Nahitaji kufanya business ila sina wazo business gani nianze capital au mtaji ni one million naomba ushauri jamani ni biashara gani naweza kuaza kwa hiyo capital?
Nimekapenda hako katoto kwenye Avatar yako....Back to the point biashara nzuri ni ile ambayo wazo kuu unalianzisha wewe mwenyewe then unaenda kwa wadau kutafutia nyama la wazo hilo lako.....Mfano Mimi naweza kukuambia anzisha biashara ya Grocery kumbe wewe Imani yako haikuruhusu ama fungua duka na usimamie mwenyewe kumbe wewe mwenyewe muajiriwa huwezi pata mda ama nikakuambia fungua kijiwe cha mama lishe upike mwenyewe kumbe we sister du/brother men kunuka moshi noma.....So njoo na idea yako then ni rahisi kujadilika kulingana na mtaji wako....Mil1 sio ndogo kiiiiivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.