Habari ndugu zangu. Natumaini wote ni wazima. Mimi ni mwanachuo Nilikuwa naomba kujuzwa kama kwa bima yangu hii ya NHIF(50400/=) naweza kuitumia kufanya vipimo vya macho kwenye hospitali kama vile CCBRT na zingine? Msaada wenu maana nasumbuliwa na macho hasa kwenye mwanga mkali.