Wakuu nipo Dodoma huku ni fundi simu, changamoto ya Dodoma hawana vifaa vingi huwa napata changamoto baadhi ya bidhaa wateja wakihitaji kama hapa kuna battery ya sony xperia xz nilikuwa nahitaji Dodoma nzima nimekosa kwa hapa mjini.
Nilikuwa naomba mawasiliano ya duka dsm ambalo nitakuwa nafanya nalo biashara awe ananitumia kwa bus.