Msaada wa bezi kwenye aborder subwoofer

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Ni matumaini yangu mko vizuri Sana wataalamu. Subwoofer yangu ghafla haitoi bezi Kama ilivyokuwa mwanzo. Speaker ndogo peke yake zinaimba. Bahati mbaya Haina sehemu ya kuongeza bezi Kama zilivyozingine. Hata kwenye remote haipo. Yaani kadri unavyoongeza sauti, ndivyo bass inakuwa kubwa. Au ni kwa sababu natumia umeme wa Zola. Maana huenda wakawa wanaimonitor... [emoji58][emoji58][emoji58] Ni mawazo yangu tu maana jamaa aliniambia Kama mtambo utatumika Sana wanazuia baadhi ya device. Msaada wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…