Msaada wa Best internet provider

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,659
58,997
Wadau wa hili jukwaa kwa heshima zote naomba mnisaidie kuwa ni internet gani nzuri kwa sasa yenye offer nzuri.
Ningependa iwe unlimited bundle ya mwezi.
Wifi ( router)
 
upo eneo gani? unlimited za biashara zinakuwa ghali pengine ifike milioni kupanda sababu speed zake zinakuwa ni dedicated sio shared kama hii mitandao yetu ya kawaida.

nimeona zuku wana fiber kinondoni na masaki sijui hata wapo vipi kama upo covered sio mbaya kuangalia zaidi speed yao naona pia bei ni nzuri na unapata chanell za bure na kupiga simu

Fast reliable unlimited Internet and Tv. - Zuku
 
Kaka hawa wapo Masaki tu. Mimi nipo mikocheni
 
hio mikocheni hawajaijumuisha kwenye kinondoni?
Nimeenda ofisi zao pale oyaterbay, wakaniambia kuwa hawapo mikocheni.
Vipi unanishauri provider gani mwingine?
Mimi nataka provider niweke wifi.

Namtumia smart ila yupo slow sanaaaa.
 
kama upo tayari kuchukua mobile data jaribu 4G ya Voda au TTCL maana hawa uhakika utapata 20mbps na kuendelea, sometime pia Tigo 4G baadhi ya maeneo ina speed ya maana. ila ni vyema kutafuta hizo line hata kwa ndugu na jamaa ukaunga kifurushi kidogo na kuzitest. tumia website ya speedtest.net kutest hizo speed.
 
TTCL VIPI MKUU
wako vizuri nimeanza kula nayo utawala mda kidogo najua itakuwa ni kipindi cha mpito kukiwa na congestion watakuwa kama wenzao nitahamia kwenye mtandao mwingine utakaokuwa reasonable kwa kutambua hili sina share kwenye mtandao wowote nataka huduma peke yake
 
ahaaa..
 
kama upo tayari kuchukua mobile data jaribu 4G ya Voda au TTCL maana hawa uhakika utapata 20mbps na kuendelea, sometime pia Tigo 4G baadhi ya maeneo ina speed ya maana. ila ni vyema kutafuta hizo line hata kwa ndugu na jamaa ukaunga kifurushi kidogo na kuzitest. tumia website ya speedtest.net kutest hizo speed.
20? Wakati mm nalipia smilabna sijawahi kupata 2mbps.
 
sababu smile unlimited package wanalimit speed wakiachia utumie kwa speed kubwa utatumia GB nyingi,

ili kuona speed husika ya 4G inabidi utest na kifurushi cha kawaida au bila kifurushi kabisa.
 
Smile wako vizuri, kwa muda wa MIAKA MITATU nimelipia premium bundle ya 21Mbps inakupa 170 GB kwa TSH 235,000 kwa mwezi. Sijawahi kujutia hii kitu, ina spidi hatari na iko reliable sana na ikigoma Smile wananipigia wenyewe kuomba radhi! Nimeweka Wi-Fi router so vifaa vyote humu ndani vinafaidi, hata nikiwa nje napunga upepo na shusha video za YouTube na Netflix kwa raha zangu. Highly recommended
 
Kaka unaonekana una hela. Tajiri.
Umemzidi hata bandidu mng'ato
 
Back
Top Bottom