Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
Kwa mwezi mzima nimekuwa nafuatilia CRDB kwa aajili ya kuactivate card yangu kwa ajili ya kuactivate online transactions bila mafanikio. Naishia kupewa majibu yasiyoridhisha toka makao makuu wanaohusika na hiyo huduma.
Nimeamua kuifunga account yangu ya CRDB na nimeamua kufungua benki nyingine ili niweze kupata hiyo huduma.
Naombeni mnisaidie kuitajia baadhi ya benki ambazo wanatoa hiyo huduma, ili kesho ikipita nikafungue account na kupatiwa hyo huduma.
Asanteni sana.